\v=18 \v~=Atatia sehemu ya hiyo damu juu ya pembe za madhabahu yaliyo mbele za \nd Bwana\nd* katika Hema la Kukutania. Damu iliyobaki ataimwaga chini ya madhabahu ya kuteketezea sadaka, penye ingilio la Hema la Kukutania. \¬v