\v=31 \v~=Atayaondoa mafuta yote, kama vile mafuta yaondolewavyo kwenye sadaka ya amani, naye kuhani atayateketeza juu ya madhabahu kama harufu nzuri ya kumpendeza \nd Bwana\nd*. Kwa njia hii kuhani atafanya upatanisho kwa ajili yake, naye atasamehewa. \¬v \¬p