\p \v=11 \v~=“ ‘Ikiwa basi, hawezi kupata hua wawili au makinda mawili ya njiwa, ataleta sehemu ya kumi ya efa\f + \fr 5:11 \ft Sehemu ya kumi ya efa ni sawa na kilo moja.\f* ya unga laini kwa ajili ya sadaka ya dhambi. Kamwe asiweke mafuta wala uvumba juu yake, kwa sababu ni sadaka ya dhambi. \¬v