\p \v=17 \v~=“Kama mtu akifanya dhambi na kufanya yale yaliyokatazwa katika mojawapo ya amri za \nd Bwana\nd*, hata ikiwa hajui, yeye ana hatia na anastahili adhabu. \¬v