\v=6 \v~=na kama adhabu ya dhambi aliyoitenda, lazima alete kwa \nd Bwana\nd* kondoo jike au mbuzi jike kutoka kwenye kundi lake kama sadaka ya dhambi; naye kuhani atafanya upatanisho kwa ajili yake kwa dhambi yake. \¬v \¬p