\v=20 \v~=“Hii ni sadaka ambayo Aroni na wanawe wanapaswa kuleta kwa \nd Bwana\nd* siku atakapotiwa mafuta: sehemu ya kumi ya efa\f + \fr 6:20 \ft Sehemu ya kumi ya efa ni sawa na kilo moja.\f* ya unga laini kama sadaka ya kawaida ya nafaka. Nusu yake ataitoa asubuhi na nusu nyingine jioni. \¬v