\v=22 \v~=Mwanawe atakayeingia mahali pake kama kuhani aliyetiwa mafuta ndiye atakayeiandaa. Ni fungu la kawaida la \nd Bwana\nd*, nalo litateketezwa kabisa. \¬v