\v=25 \v~=“Mwambie Aroni na wanawe: ‘Haya ndiyo masharti kwa ajili ya sadaka ya dhambi: Sadaka ya dhambi itachinjiwa mbele za \nd Bwana\nd* mahali sadaka ya kuteketezwa huchinjiwa, ni takatifu sana. \¬v