\v=6 \v~=Kisha kama adhabu lazima amletee kuhani, yaani kwa \nd Bwana\nd*, kama sadaka yake ya hatia, kondoo dume asiye na dosari na mwenye thamani kamili kutoka kundi lake. \¬v