\v=7 \v~=Kwa njia hii kuhani atafanya upatanisho kwa ajili yake mbele za \nd Bwana\nd*, naye atasamehewa kwa kosa lolote katika mambo hayo aliyoyatenda yaliyomfanya kuwa na hatia.” \¬v \¬p