\v=14 \v~=Ataleta moja ya kila aina ya andazi kama sadaka, matoleo kwa \nd Bwana\nd*; hii ni ya kuhani anayenyunyiza damu ya sadaka ya amani. \¬v