\v=18 \v~=Kama nyama yoyote ya sadaka ya amani italiwa siku ya tatu, \nd Bwana\nd* hataikubali. Haitahesabiwa kwake huyo aliyeitoa, kwa kuwa ni najisi. Mtu atakayekula sehemu yake yoyote atahesabiwa hatia. \¬v \¬p