\v=20 \v~=Lakini kama mtu yeyote najisi akila nyama yoyote ya sadaka ya amani iliyotolewa kwa \nd Bwana\nd*, huyo mtu lazima akatiliwe mbali na watu wake. \¬v