\v=25 \v~=Mtu yeyote alaye mafuta ya mnyama ambaye ametolewa sadaka kwa \nd Bwana\nd* kwa moto ni lazima akatiliwe mbali na watu wake. \¬v