\v=29 \v~=“Waambie Waisraeli: ‘Mtu yeyote aletaye sadaka ya amani kwa \nd Bwana\nd* ataleta sehemu ya sadaka hiyo kama dhabihu yake kwa \nd Bwana\nd*. \¬v