\v=30 \v~=Ataleta sadaka kwa mikono yake mwenyewe iliyotolewa kwa \nd Bwana\nd* kwa moto; ataleta mafuta ya huyo mnyama pamoja na kidari, naye atainua hicho kidari mbele za \nd Bwana\nd* kuwa sadaka ya kuinuliwa. \¬v