\p \v=35 \v~=Hii ndiyo sehemu ya sadaka zilizotolewa kwa \nd Bwana\nd* kwa moto, ambazo zilitengwa kwa ajili ya Aroni na wanawe siku ile walipowekwa wakfu ili kumtumikia \nd Bwana\nd* katika kazi ya ukuhani. \¬v