\v=36 \v~=Siku ile walipotiwa mafuta, \nd Bwana\nd* aliagiza kwamba Waisraeli wawape hili kama fungu lao la kawaida kwa vizazi vijavyo. \¬v \¬p