\v=5 \v~=Kuhani atayateketeza juu ya madhabahu kuwa sadaka iliyotolewa kwa \nd Bwana\nd* kwa moto. Hii ni sadaka ya hatia. \¬v