\v=13 \v~=Kisha akawaleta wana wa Aroni mbele, akawavika makoti, akawafunga mishipi na kuwavika vilemba, kama \nd Bwana\nd* alivyomwagiza Mose. \¬v \¬p