\v=17 \v~=Lakini fahali, ikiwa pamoja na ngozi yake na nyama yake na sehemu zake za ndani na matumbo, akaiteketeza nje ya kambi, kama \nd Bwana\nd* alivyomwagiza Mose. \¬v \¬p