\v=29 \v~=Kisha akachukua kidari, kilicho fungu la Mose la kondoo dume kwa ajili ya kuwekwa wakfu, na kukiinua mbele za \nd Bwana\nd* kama sadaka ya kuinuliwa, kama \nd Bwana\nd* alivyomwagiza Mose. \¬v \¬p