\v=9 \v~=Kisha akamvika Aroni kilemba kichwani pake, akaweka lile bamba la dhahabu, yaani ile taji takatifu, upande wa mbele wa kilemba, kama \nd Bwana\nd* alivyomwagiza Mose. \¬v \¬p