\v=10 \v~=Juu ya madhabahu akateketeza mafuta, figo na mafuta yanayofunika ini kutoka kwenye hiyo sadaka ya dhambi, kama \nd Bwana\nd* alivyomwagiza Mose. \¬v