\v=21 \v~=Aroni akaviinua vile vidari na paja la kulia mbele za \nd Bwana\nd* ili viwe sadaka ya kuinuliwa, kama Mose alivyoagiza. \¬v \¬p