\p \v=23 \v~=Kisha Mose na Aroni wakaingia kwenye Hema la Kukutania. Walipotoka nje, wakawabariki watu. Nao utukufu wa \nd Bwana\nd* ukawatokea watu wote. \¬v