\v=24 \v~=Moto ukaja kutoka uwepo wa \nd Bwana\nd*, ukairamba ile sadaka ya kuteketezwa, pamoja na sehemu ya mafuta yaliyokuwa juu ya madhabahu. Watu wote walipoona jambo hili, wakapiga kelele kwa furaha na kusujudu. \¬v \¬p \¬c