\v=4 \v~=na pia maksai na kondoo dume kwa ajili ya sadaka ya amani, ili kutoa dhabihu mbele za \nd Bwana\nd*, pamoja na sadaka ya nafaka iliyochanganywa na mafuta. Kwa kuwa leo \nd Bwana\nd* atawatokea.’ ” \¬v \¬p