\v=35 \v~=\wj Kesho yake, yule Msamaria akachukua dinari mbili\wj*\f + \fr 10:35 \ft Dinari mbili ni sawa na mshahara wa kibarua wa siku mbili.\f* \wj akampa yule mwenye nyumba ya wageni na kusema, ‘Mtunze, nami nirudipo nitakulipa gharama yoyote ya ziada uliyotumia kwa ajili yake.’\wj* \¬v \¬p