\p \v=39 \v~=Ndipo Bwana akamwambia, \wj “Sasa, enyi Mafarisayo, mnasafisha kikombe na sahani kwa nje, lakini ndani mmejaa unyangʼanyi na uovu.\wj* \¬v