\p \v=5 \v~=Kisha akawaambia, \wj “Ni nani miongoni mwenu mwenye rafiki yake, naye akamwendea usiku wa manane na kumwambia, ‘Rafiki, nikopeshe mikate mitatu.\wj* \¬v