\v=15 \v~=Ndipo Yesu akawaambia, \wj “Jihadharini! Jilindeni na aina zote za choyo. Kwa maana maisha ya mtu hayatokani na wingi wa mali alizo nazo.”\wj* \¬v \¬p