\p \v=15 \v~=Lakini Bwana akamjibu, \wj “Enyi wanafiki! Je, kila mmoja wenu hamfungulii ngʼombe wake au punda wake kutoka zizini akampeleka kumnywesha maji siku ya Sabato?\wj* \¬v