\p \v=24 \v~=Yesu akawaambia, \wj “Jitahidini sana kuingia kupitia mlango mwembamba, kwa maana nawaambia wengi watajaribu kuingia, lakini hawataweza.\wj* \¬v