\v=3 \v~=Yesu akawauliza wale Mafarisayo na walimu wa sheria, \wj “Je, ni halali kuponya watu siku ya Sabato au la?”\wj* \¬v