\p \v=5 \v~=Kisha akawauliza, \wj “Kama mmoja wenu angekuwa na mtoto au ngʼombe wake aliyetumbukia katika kisima siku ya Sabato, je, hamtamvuta mara moja na kumtoa?”\wj* \¬v