\p \v=28 \v~=\wj “Yule mwana mkubwa akakasirika, akakataa kuingia ndani. Basi baba yake akatoka nje na kumsihi.\wj* \¬v