\p \v=22 \v~=Kisha Yesu akawaambia wanafunzi wake, \wj “Wakati utafika ambapo mtatamani kuiona moja ya siku ya Mwana wa Adamu, lakini hamtaiona.\wj* \¬v