\v=16 \v~=Lakini Yesu akawaita wale watoto waje kwake, akasema, \wj “Waacheni watoto wadogo waje kwangu, wala msiwazuie, kwa maana Ufalme wa Mungu ni wa wale walio kama hawa.\wj* \¬v