\p \v=22 \v~=Yesu aliposikia haya, akamwambia, \wj “Bado kuna jambo moja ulilopungukiwa. Nenda ukauze kila kitu ulicho nacho, uwape maskini, nawe utakuwa na hazina mbinguni. Kisha njoo, unifuate.”\wj* \¬v \¬p