\p \v=23 \v~=Aliposikia jambo hili, alisikitika sana kwa maana alikuwa mtu mwenye mali nyingi. \¬v