\p \v=29 \v~=Yesu akajibu, \wj “Amin, nawaambia, hakuna hata mtu aliyeacha nyumba yake, au mke, au ndugu, au wazazi au watoto kwa ajili ya Ufalme wa Mungu\wj* \¬v