\p \v=14 \v~=\wj “Lakini raiya wa nchi yake walimchukia wakapeleka ujumbe na kusema, ‘Hatutaki huyu mtu awe mfalme wetu.’\wj* \¬v \¬p