\p \v=5 \v~=Yesu alipofika pale chini ya huo mkuyu, akatazama juu, akamwambia, \wj “Zakayo, shuka upesi, kwa maana leo nitakuwa mgeni nyumbani kwako!”\wj* \¬v