\p \v=10 \v~=Yesu akawaambia, \wj “Tazameni, mtakapokuwa mkiingia mjini, mtakutana na mwanaume amebeba mtungi wa maji. Mfuateni mpaka kwenye nyumba atakayoingia.\wj* \¬v