\p \v=19 \v~=Kisha akachukua mkate, akashukuru, akaumega, na kuwapa, akisema, \wj “Huu ni mwili wangu unaotolewa kwa ajili yenu. Fanyeni hivi kwa ukumbusho wangu.”\wj* \¬v \¬p