\p \v=20 \v~=Vivyo hivyo baada ya kula, akakitwaa kikombe, akisema, \wj “Kikombe hiki ni agano jipya katika damu yangu, imwagikayo kwa ajili yenu.\wj* \¬v