\p \v=36 \v~=Akawaambia, \wj “Lakini sasa, aliye na mfuko na auchukue, na aliye na mkoba vivyo hivyo. Naye asiye na upanga, auze joho lake anunue mmoja.\wj* \¬v