\p \v=52 \v~=Kisha Yesu akawaambia wale viongozi wa makuhani, maafisa wa walinzi wa Hekalu, pamoja na wazee waliokuwa wamekuja kumkamata, \wj “Mmekuja na panga na marungu, kana kwamba mimi ni mnyangʼanyi?\wj* \¬v