\v=61 \v~=Naye Bwana akageuka, akamtazama Petro. Ndipo Petro akakumbuka lile neno ambalo Bwana alimwambia: \wj “Kabla jogoo hajawika leo, utanikana mara tatu.”\wj* \¬v